BANDA MEDIA BLOG

KIMBISA AWAONGOZA WABUNGE WA AFRICA MASHARIKI KUTEMBELEA MASOKO YA DODOMA VIKIWEMO VYUO VIKUU

Mwenyekiti wa Wabunge wa Tanzania katika Bunge la Africa mashariki na kati [EAC] Adamu Kimbisa akifafanua jambo wakati akijibu changamoto za wafanyabishara wa Soko la majengo alipofika yeye na wabunge wenzake kujua changamoto zao, Wengine ni Kiongozi wa msafara huo Shyrose Bhanji na Charles Ngeleja toka Sudani

Mkuu wa Msafara wa Wabunge wa Africa Mashariki na Kati katika soko la Majengo Dodoma Shyrose Bhanji akionyesha Mkataba wa Soko la pamoja la Umoja huo kabla ya kuwakabidhi wafanyabishara wa soko hilo IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG

Shyrose Bhanji akimkabidhi vitabu na CD vyenye mafunzo mbalimbali ya kibiashara na namuna ya kujiunga katika soko la pamoja la umoja wa nchi za Africa mashari na kati kwa Mwenyekiti wa Soko hilo Godson Lugazama anayeshuhudia ni Mwenyekiti wa wabunge hao nchini Adamu Kimbisa

Baada ya zoezi hilo wakakabidhi Bendera ya Umoja huo kwa afsa mtendaji wa kata ya majengo

PICHA YA PAMOJA

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG