BANDA MEDIA BLOG

MUHIMBILI WAFANYA USAFI LEO KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS LA KILA MWEZI

m1 m2m7
m6
m4Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakifanya usafi LEO ikiwa ni kutekeleza agizo la rais la kufanya usafi kila mwishoni mwa mwezi.
m3Kutoka kulia Chindemba Lingwana, Patrick Rogath ambaye ni Mkuu Idara ya Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwenye hospitali hiyo, Christian Mtei na Fred Felix wakifanya usafi katika jengo la utawala LEO.
m5 Shughuli za usafi zikiendelea
Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG