BANDA MEDIA BLOG

PICHA 10: MASHABIKI WA UJERUMANI HUWAAMBII KITU KUELEKEA MECHI DHIDI YA UKRAINE

Mashabiki wa timu ya taifa ya Ujerumani wameujaza mji Lille wakisubiri kushuhudia pambano kati ya timu yao ya Ujerumani dhidi ya Ukraine mchezo utakaosukumwa kwenye uwanja wa Stade Pierre Mauroy.
Tayari nipo hapa kwenye mitaa ya jiji la Lille saizi nikiwa nazunguka hapa na pale nikisubiri muda uwadie ili niweze kuingia uwanjani kwa ajili ya kushuhudia mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu.
Mashabiki wa Ujerumani wamaamini kwamba, timu yao itafanya vizuri kwenye mchezo wao wa kwanza wa Kundi C katika harakati za kuisaka ndoo ya Euro.
Hapa nimekuwekea picha 10 za washkaji wa Ujerumani wakiwa kwenye mishemishe na pilika za nje ya dimba huku kila shabiki akiamini timu yake itafanya vizuri kwenye michuano hii ya Euro.
IMG-20160612-WA0010 IMG-20160612-WA0009
IMG-20160612-WA0008 IMG-20160612-WA0007 IMG-20160612-WA0006 IMG-20160612-WA0001 IMG-20160612-WA0004 IMG-20160612-WA0003 IMG-20160612-WA0005

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG