BANDA MEDIA BLOG

WAKATI WACHEZAJI WENGI WAKITUMIA MKWANJA AO KWENYE STAREHE, GRANIT NA TAULANT WANAWEKEZA FEDHA ZAO HUKU

epa05357291 Switzerland's Granit Xhaka (R) and his brother Taulant Xhaka of Albania embrace after the UEFA EURO 2016 group A preliminary round match between Albania and Switzerland at Stade Bollaert-Delelis in Lens Agglomeration, France, 11 June 2016. (RESTRICTIONS APPLY: For editorial news reporting purposes only. Not used for commercial or marketing purposes without prior written approval of UEFA. Images must appear as still images and must not emulate match action video footage. Photographs published in online publications (whether via the Internet or otherwise) shall have an interval of at least 20 seconds between the posting.) EPA/ROLEX DELA PENA EDITORIAL USE ONLY
Granit Xhaka na kaka yake Taulant kamwe hawasahau walipotoka. Wawili hao wanapendana sana na kikubwa ni mapenzi yao yasiyopimika kwa wazazi wao. Jana walikuwa timu pinzani wakati Uswizi ilipocheza na Albania. Granit alikuwa akicheza upande wa Uswizi wakati Taulant alikuwa upande wa Albania.

Sasa issue nzima iko hivi….Granit na Taulant licha ya kuwa wakubwa na akili zao timamu, lakini katika kiasi chote cha mapato wanachopata kupitia soka, asilima 80 na fedha hizo hupeleka kwa wazazi wao kwaajili ya kuwatunzia.
epa05357534 Leonita Lekaj (l), the girlfriend of Swiss midfielder Granit Xhaka, cheers the parents father Ragip Xhaka (R) and mother Elmaze Xhaka of the soccer player during the UEFA EURO 2016 group A preliminary round soccer match between Albania and Switzerland, at the Stadium Bollaert-Delelis, in Lens, France, Saturday, June 11, 2016. (RESTRICTIONS APPLY: For editorial news reporting purposes only. Not used for commercial or marketing purposes without prior written approval of UEFA. Images must appear as still images and must not emulate match action video footage. Photographs published in online publications (whether via the Internet or otherwise) shall have an interval of at least 20 seconds between the posting.) EPA/JEAN CHRISTOPHE BOTT EDITORIAL USE ONLY EDITORIAL USE ONLY
Hii ni tabia ya kipekee ukilinganisha na wachezaji wengi. Wengi wao hutumia fedha hizo kwa kununulia magari na nyumba za kifahari, lakini imekuwa tofauti kwa vijana hawa. Wanawapa wazazi wao fedha hizo kwa ajili ya matumizi na vile vile nyingine kuwatunzia.
Granit na Taulant wanasema:”Kwasababu tunawapenda sana wazazi wetu. Tunahakikisha kila mwezi tunawatumia kiasi cha fedha. Tuna akaunti tofauti hata hivyo. Tunawapa asilimia 80 ya pato letu. Sisi bado ni vijana, na ni malimbukeni wa fedha, tunaweza kuzitumia ovyo na kuisha haraka. Kama kuna yeyote anadhani ni bora kwasababu ya kuwa na fedha nyingi kwenye akaunti, basi anaweza kughafirika haraka sana. Kwetu sisi familia ni kitu chenye thamani kubwa sana.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG