BANDA MEDIA BLOG

PICHA 7: ‘HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA’, DAUDA Jr UWANJANI AKIJIFUA By Dick Dauda - June 22, 2016

IMG-20160622-WA0000
Ule usemi wa ‘mbuyu ulianza kama mchicha’ nauona hapa, Dauda-Solskjaer Dauda ameanza kuonesha kuusudu mchezo wa soka na tayari ameanza kujifua.
Wazazi mnatakiwa kuwapa-support watoto kwa kile wanachoonesha kukipenda kwa kuwatia moyo na hamasa ili siku moja wafikie ndoto zao.
Angalia picha saba wakati Dauda Jr akijifua uwanjani ili kujiweka fiti.
Nipe comment yako hapo chini, unadhani Dauda Jr anaweza kuwa nyota kwenye soka baada ya miaka kadhaa?
IMG-20160622-WA0008
IMG-20160622-WA0007 IMG-20160622-WA0006 IMG-20160622-WA0005 IMG-20160622-WA0004 IMG-20160622-WA0002 IMG-20160622-WA0000

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG