![]() |
| Mwenyekita wa CHAVITA Nembross Mlawa akiongea jambo kwenye mkutano wa mwaka kikatiba unaofanyika Dodoma |
![]() |
| Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshuhulikia walemavu Dr. Abdallah Possi akifafanua jambo kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa Mwaka wa CHAVITA uliofanyika Dodoma |
![]() |
| Mmoja wa viongozi waandamizi wa Chama cha Viziwi Tanzania CHAVITA akisema wakati akimshukuru Mgeni Rasmi Dkt, Possi aliyewafungulia mkutano wao IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG |
![]() |
| Mkutano wa CHAVITA ukiendelea |
Tags
HABARI KITAIFA








