BANDA MEDIA BLOG

HUDUMA YA UKATAJI TIKETI MABASI YA MIKOANI ZAZINDULIWA


mav1Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma ya ukataji tiketi za mabasi yaendayo mikoani kwa njia ya simu ya mkononi ijulikanayo kama Tiketi Rafiki inayotolewa na kampuni ya Global Light company mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

mav2Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde (kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya ukataji tiketi za mabasi yaendayo mikoani kwa njia ya simu ya mkononi ijulikanayo kama Tiketi Rafiki mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo inayotoa huduma ya Global Light Company Bw. Raymond Magambo.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG