HomeHABARI KITAIFA Rais Magufuli Ategua Uteuzi wa Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya TIB...Amtea Huyu Kushika Nafasi byJohn Banda -Tuesday, July 05, 2016 0 UTEUZI: Rais John Magufuli amemteua Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Benki ya TIB. Ametengua uteuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo Prof. William Lyakurwa Tags HABARI KITAIFA Facebook Twitter