TAZAMA Picha Tano za Harusi ya Mwanasiasa ZITTO KABWE Iliyofanyika Zanzibar Jana
byJohn Banda-
0
Mbunge
wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe jana aliuacha rasmi ukapera baada ya
kufunga ndoa na mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili
iliyopita, ndoa na tafrija zote zilifanyika Zanzibar.