“Mwaka huu ni mwaka ambao umekuwa wa mafanikio na tumefanya vitu vingi pamoja na tour na tumepata dili nyingi ambazo zimetuingizia pesa, ndio tulikuwa na mipango ya kujenga nyumba toka zamani na imefikia wakati tumeanza kujenga, hii ni nyumba ambayo tumebuni mimi na Aika na itagharimu milioni 700 hadi kuisha”
Tags
KIBURUDANI
