Jana July 14 2016 Waziri mkuu mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu
Frederick Sumaye amerudisha fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’ kanda ya Pwani, Sumaye ana
wapinzani wawili ambao ni John Gugunita na Gango Kidera.
Nafasi zingine za uongozi ambazo zipo wazi ni makamu mwenyekiti ambapo watu watatu wamejitokeza kugombea nafasi hiyo akiwemo Saed Kubenea, nafasi ya mwekahazina wagombea watatu wamejitokeza akiwemo aliyekuwa naibu waziri wa kazi na ajira wa serikali ya awamu ya nne, Makongoro Mahanga.

Tags
SIASA