Hasa
kwa wale wanaonunua magari kwa mara ya kwanza, na hawana uzoefu wa
kuendesha gari, na pia wale wote ambao wanaweza wakawa wana uzoefu wa
kuendesha gari mijini, lakini hawana uzoefu wa kuendesha gari kwenye
bara bara kuu za kwenda mikoani.
Lakini ni vema kila mtu aliye dereva akasoma ninachoeleza hapa. Inaweza
kuokoa maisha yako ya familia yako, na wengine wanaoendesha magari au
kuwa abiria.
Ndugu
zangu, ukiweza kuendasha gari hapa Dar, au hata mikoani mijini, haina
maana utaweza kuendesha gari pasipo tatizo kwenye barabara kuu.
Nimeshuhudia watu wengi sana waliokufa kwa sababu baada ya kununua gari
walikuwa na mchecheto wa ku-drive kwenda kwao kijijini.
Kuendesha gari kwenye barabara kuu ni tofauti sana na kuendesha gari
mijini. Kwenye barabara kuu challenge zake ni kubwa sana kwa sababu gari
zinaenda kwa kasi, na pia kuna mambo mengi ya ghafla yanayoweza
kujitokeza ambayo kama huna uamuzi wa haraka kama dereva utakufa tu
kabla ya kufika mwisho wa safari yako.
Ukifanya
kosa hata dogo barabara kuu unaweza kufa, tofauti na mijini.
Kwa mfano, ku-overtake katika barabara kuu ni jambo linatakiwa lifanywe
kwa makini sana. Na pia kila unapoingia kona kali au blind spot kwenye
barabara kuu weka akilini kwamba unaweza kukutana na kitu upande wako,
basi linaloenda kasi, lori au trekta liloharibika, mifugo, shimo kubwa,
mawe yaliyoporomoka, ajali nk. Pia unaweza kukutana ghafla na dereva
mzembe anae-overtake kwenye kona na yuko upande wako.
Usithubutu ku-overtake sehemu ambayo huoni mbali mbele, na usikaribie
sana gari unayotaka ku-overtake kabla ya kui-overtake. Na unapo-overtake
kama una gari manual gear, rudi gia za chini kwanza ili kujenga spidi
ya ku-overtake.
Kama
una gari automatiki, ikibidi itoe gari kwenye overdrive (unabonyeza
kiswitch cha Overdrive na kuna kataa katawaka kwenye dashboard kuonyesha
Overdrive iko off), hasa kama ulikuwa umepunguza mwendo. Mara nyingine
toa gia kwenye "D" na rudi kwenye "2" ili kujenga spidi ya ku-overtake,
na ukishamaliza rudi kwenye D na Overdrive. Hili ni muhimu sana kwa gari
ambazo ukikanyaga accerator gari inakawia kuchanganya.
Overtake
kwa haraka, sehemu ambayo iko salama, na ni vizuri gari unayoi-overtake
dereva wake ajue unamu-overtake. Unaweza kumpigia honi kidogo ya kuibia
kama kuomba - usipige kwa nguvu ukamuudhi. Epuka kuovertake sehemu ya
barabara yenye mashimo, maana dereva wa mbele anaweza kurudi upande wako
ili akwepe shimo wakati tayari unamu-overtake.
Siri moja ya ku-overtake salama ni uvumilivu - overtake nzuri haitaki
haraka.
Na
pia kosa linaloua watu wengi sana ni ku-overtake kwa kukisia kwamba
hakutakuwa na gari inayokuja upande wa pili zile sehemu ambazo huoni
vizuri mbele. Hata kama barabara haina magari mengi usithubutu kukisia
kwamba hakutakuwa na gari (gambling overtake).
Na pia katika barabara kuu kuna suala la uchovu - fatigue. Hili ni jambo
jingine linaua sana watu wasio na uzoefu wa kuwa katika barabara kuu.
Ni mbaya hata zaidi ikiwa utakaposimama mahali kwa chakula ukanywa bia -
hata moja tu, kwa sababu itakuletea sana usingizi.
Epuka
kula vyakula vizito kama ugali na maharage, au kula hadi ukashiba sana!
Ukisikia usingizi simama upumzike, toka ndani ya gari, tembea kidogo,
kabla ya kuendelea na safari. Kama ikibidi tumia Redbull (sio zaidi ya moja).
Na
jambo jingine muhimu sana la kukumbuka ni kwamba ukiingia barabara kuu,
ukaendesha kwa muda fulani, akili yako inazoea spidi kali kiasi kwamba
huoni tena kama unaenda spidi kali. Unaweza ukawa unaenda 140km/h ukaona
kama unaenda 80km/hr.
Hili
huwa mara nyingi linasababisha kuacha njia na kupinduka, au kuingia
kona ukiwa na spidi kubwa na gari kupinduka. Nadhani umesikia sana ajali
zinazosemwa zilitokea kwa sababu dereva alishindwa kumiliki gari - ni
kwa sababu akilini dereva aliona haendi spidi.
Na
pia jambo jingine muhimu sana kukumbuka ni kwamba, unapoenda safari
yoyote ya mbali ambayo utaendesha gari mfululizo kwa zaidi ya masaa
manne, au kwa spidi zaidi ya 100km/hr, hakikisha tairi zako hazina umri
zaidi ya miaka mitano, la sivyo utapata basti hata kama tairi inaonekana
bado mpya kwa
kuitazama. Tairi ikizidi miaka mitano haifai kusafiria safari ya mbali,
japo unaweza ukaendelea kuitumia kwa safari za mijini.
Nimeona niseme haya kwa sababu nawapenda ndugu zangu.
Sitaki
mufe barabarani, au mniue mie na familia yangu. Wapeni taarifa wengine
ili tuzidi kuepuka vifo hivi vya barabarani ambavyo vingi vinazuilika.
Neno langu la mwisho, ili uendeleee kuwa salama barabarani ni kwa lugha
ya kiingereza; BE PATIENT kwa lolote unalotaka kufanya ukiwa unaendesha
gari. Zingaitia hilo, utakuwa salama.
Aliyekuwa msanii
mahiri wa Taarab, marehemu Shakila Said wakati wa uhai wake akipongezwa
na Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya
Kikwete wakati wa Tamasha la wasanii kumuaga Kikwete usiku baada ya
kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa chama hicho, mjini Dodoma Julai 23, mwaka
huu. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
PICHA ZA MWISHO KUMPIGA MSANII SHAKILA SAID DODOMA
Aliyekuwa msanii mahiri wa Taarab, marehemu Shakila Said wakati wa uhai
wake akipongezwa na Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais mstaafu wa Awamu ya
Nne, Jakaya Kikwete wakati wa Tamasha la wasanii kumuaga Kikwete usiku
baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa chama hicho, mjini Dodoma Julai
23, mwaka huu. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Shakila akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Abdulrahman Kinana
Akitafakari jambo
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
SIMBA YAANZA VIZURI YAIBAMIZA NDANDA 3-1
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM
SIMBA SC imeanza Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa kishindo kufuatia
ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara jioni ya leo Uwanja
wa Taifa, Dar es Salaam.
Japokuwa hakufunga hata bao moja, lakini beki wa kulia Mohammed Hussein
‘Tshabalala’ ndiye anastahili sifa zaidi kwa ushindi mnono wa Simba leo,
kutokana na kuseti mabao yote.
Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Emmanuel Mwandembwa wa Arusha,
hadi mapumziko timu hizo zilikuwa zimefungana bao 1-1.
Simba SC walitangulia kwa bao la mshambuliaji kutoka Burundi, Laaudit
Mavugo dakika ya 20 aliyemalizia mpira wa adhabu wa Tshabalala.
Frederick Blagnon (kushoto) akikimbia baada ya kuifungia Simba bao la
pili. Kulia ni mshambuliaji aliyefunga bao la kwanza, Laudit Mavugo
Mavugo akiwa ameinuliwa na Tshabalala baada ya kufunga bao la kwanza.
Mwingine ni mfungaji wa bao la tatu, Shizza Kichya
Mshambuliaji anayeinukia vizuri nchini, Omary Mponda akaisawazishia
Ndanda FC dakika ya 37 kwa kichwa akimalizia krosi ya Nahodha Kiggi
Makassy.
Mabadiliko yaliyofanywa na kocha Mcameroon wa Simba, Joseph Marius Omog
kipindi cha pili akiwatoa Jamal Mnyate na Ibrahim Hajib na kuwaingiza
Mwinyi Kazimoto na Frederick Blagnon yaliiongezea uhai Simba na kuvuna
mabao zaidi.
Mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Blagnon alianza kuifungia Simba SC bao
la pili dakika ya 73 kwa kichwa akimalizia kona ya Tshabalala.
Shiza Kichuya akimtoka Nahodha wa Ndanda FC, Kiggi Makassy
Nyota wa mchezo wa leo, Tshabalala akimtoka bekin wa Ndanda, Paul
Ngalema
Beki wa kulia wa Simba, Hamad Juma akimtoka kiungo wa Ndanda FC, Salum
Telela
Nyota wa mchezo wa leo, Tshabalala akaseti bao la tatu baada ya kupiga
kona iliyotemwa na kipa Jackson Chove na winga Shizza Ramadhani Kichuya
akasukumia nyavuni kuipa Simba SC ushindi wa 3-1.
Kwa ujumla Simba SC imecheza leo na ilistahili ushindi huo, wakati
Ndanda walionyesha upinzani kwa wenyeji kipindi cha kwanza pekee.
Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Vincent Angban, Hamad Juma, Mohammed
Hussein ‘Tshabalala’, Novaty Lufunga, Method Mwanjali, Jonas Mkude,
Shizza Kichuya/Mohamed Ibrahim dk84, Muzamil Yassin, Laudit Mavugo,
Ibrahim Hajib/Frederick Blagnon dk62 na Jamal Mnyate/Mwinyi Kazimoto
dk69.
Ndanda FC; Jackson Chove, Azizi Sibo/Bakari Mtama dk65, Paul Ngalema,
Kiggi Makasi, Hemed Khoja, Salvatory Ntebe, Forahim Isihaka, Bryson
Raphael, Salum Telela, Omary Mponda na Shija Mkina/Nassor kapama dk65.

SIMBA YAANZA VIZURI
YAIBAMIZA NDANDA 3-1

Na Princess Asia, DAR
ES SALAAM

Tags
USAFIRISHAJI