BANDA MEDIA BLOG

WATENDAJI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA TBC, WAHOJIWA NA PAC

Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Habari Nchini TBC  Balozi Habati Mrango akizungumza jambo wakati alipokuwa akijibu moja ya mashwali ya Wabunge wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali PAC, walipoitwa kuhojiwa, Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Ayoub Ryoba na kulia ni Naibu katibu mkuu Wizara ya habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nuru Millao

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC, Ayoub Ryoba akifafanua jambo wakata akizungumza mbele ya kamati hiyo

Mwenyekiti wa kikao cha jioni cha Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali PAC, Jamal Kassim akihitisha mahojiano hayo, kushoto Eishi Kiula na kulia ni katibu wa kamati hiyo IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG




Watendaji wa TBC wakifuatilia ,ahojiano hayo


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG