BANDA MEDIA BLOG

Magufuli aipa 5 Kilimanjaro Queens


magufuli-1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameipongeza timu ya taifa ya soka la wanawake ya Tanzania bara Kilimanjaro Queens kwa kutwaa kombe la baraza la vyama vya soka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Women’s Championship) baada ya kuifunga Kenya goli 2-1 kwenye mchezo wa fainali huko mjini Jinja, Uganda.
Hii hapa taarifa ya Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu.

img-20160921-wa0015

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG