BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI UMMY MWALIMU AFUNGA MAFUNZO YA WASIMAMIZI NA WADADISI WA UTAFITI WA VIASHIRIA NA MATOKEO YA UKIMWI YA MWAKA 2016, MJINI DODOMA





Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospital ya Benjamini Mkapa mjini Dodoma Prof Ainori Gesase akimkaribisha Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu aliyefika kufunga mafunzi ya Wasimamizi na wadadisi wa Utafiti wa viashiria na matokeo ya Ukimwi yaliyofanyika Hosptalini hapo

Washiriki wa Mafunzo hayo wakipiga makofi wakati wa kumpokea mgeni rasmi

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akifafanua jambo wakati alipokuwa akifunga mafunzo hayo ya miezi 2 IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG

Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Hospital ya Benjamini Mkapa Prof Ainori Gesase akielekeza jambo wakati alipokuwa akiongea wahitimi wa mafunzo hayo

Mkurugenzi mkuu wa Ofsi ya Taifa ya Takwimu Albina Chuwa akisoma hotuba yake wakati wa tukio hilo
Mkurugenzi mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania [TACAIDS] Dkt, Leonard Maboko akizungumza jambo

Mganga mkuu wa Mkoa wa Dodoma James Kiolongwe akizungumza jambo wakati alipokuwa akimwakirisha mkuu wa mkoa huo Jordan Rugimbana

 

Picha ya Pamoja ya Washiriki

Muonekano wa nje wa jengo la Hospital ya Benjamini Mkapa ya Mjini Dodoma

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG