Viongozi wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania wakimkaribisha Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba kwenye mkutano wa wachungaji wa kanisa hilo uliyofanyika mjini DODOMA |
![]() |
| Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba akizungumza jambo mbele ya wachungaji wa kanisa la KKKT waliokuwa kwenye mkutano wa kanisa hilo uliofanyika mjini Dodoma IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG |
![]() |
| Wachungaji wa kanisa hilo wakiwa ukumbini hapo |
![]() |
| Kiongozi wa kanisa la kiinjili la Kiluthel Tanzania Fredric Shoo akizungumza jambo kwenye mkutano huo unaoendelea katika ukumbi wa Chimwaga uliyopo Chuo kikuu cha Dodoma UDOM |
Tags
HABARI ZA DINI





