Ikiwa
siku kadhaa zimepita tangu Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto
Mikocheni B, Dk. Getrude Lwakatare kutoa milioni 25 kuwalipia wafungwa
78 ambao walikosa fedha kulipia faini na kufungwa jela mkoa wa Dar es
salaam. Sasa amejitolea kuwalipia faini wafungwa 50 walioko kwenye
magereza mkoani DODODMA, wakiwemo wanaonyonyesha, wazee na watoto.
Akizungumza na Ayo Tv na millardayo.com, Lwakatare amesme aamesema……>>>‘Siku
ya ijumaa itakuwa kwa ajili ya Dodoma tumefanukiwa kuwalipia faini za
watu wenye makosa madogomadogo ya elfu hamsini, ya laki na nusu kwa watu
wapatao 50 na tulitoa kipaumbele kwa watu wanaonyonyesha watoto,
wagonjwa, wazee vikongwe, wale watu ukiwalipia unapata dhawabu kwa
Mungu’
Tags
HABARI ZA DINI