Na.Alex Mathias.
Kocha Mkuu wa timu ya Yanga,Hans Van Der Pluijm,ametangaza kikosi cha
wachezaji watakaoivaa Kagera Sugar mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara
kwenye uwanja wa Kaitaba majira ya saa kumi jioni.
Kikosi cha Yanga SC leo dhidi ya Kagera Sugar

1. Deogratius Munishi 2. Hassani Kessy 3. Mwinyi Haji 4. Andrew Vicent 5. Kelvin Yondani 6. Thabani Kamusoko
7. Saimoni Msuva 8. Haruna Niyonzima 9. Donald Ngoma 10. Obrey Chirwa 11. Deusi Kaseke
Wachezaji wa Akiba ni – Beno Kakolanya – Oscar Joshua – Vicent Bossou – Mbuyu Twite – Geofrey Mwashuiya
na Mateo Antony
Tags
MICHEZO KITAIFA