Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Huduma na Maendeleo ya Jamii pamoja na viongozi wa Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo wakiwa katika kikao cha kujadiliana kuhusu
Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 ambapo wamejadili na
kupitia kifungu kwa kifungu katika Muswada huo leo Oktoba 20,2016 Mjini
Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo
mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii
katika kikao cha majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari
leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni
Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (kulia) akifuatilia majadiliano
kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kati ya Kamati ya Bunge ya
Huduma na Maendeleo ya Jamii na Wizara yake leo Oktoba 20,2016 Mjini
Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson (kushoto) akifuatilia
majadiliano kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kati ya Kamati
ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na Wizara husika leo Oktoba
20,2016 Mjini Dodoma.
Pocha zote na Idara ya Habari MAELEZO
Tags
HABARI KITAIFA