![]() |
| Naibu Kamishna wa Uhamiaji Ali Dady Ali akizungumza jambo wakati alipokuwa akitoa hotuba kwenye sherehe fupi ya kuwapongeza maofsa uhamiaji waliopandishwa vyeo toka cha sajenti mpaka ukaguzi msaidizi |
![]() |
| Naibu Kamishna wa Magereza Rehema Ezekiel akizungumza jambo kama mgeni mualikwa akimwakilisha mkuu wa magereza mkoa wa Dodoma kwenye sherehe hiyo IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG |
Tags
HABARI KITAIFA

















