Ni msanii wa Bongo Fleva, Lina Sanga ambae October 28, 2016 amechukua headlines mitandaoni baada ya kumpost rasmi mpenzi wake mpya.
Staa huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliyaandika haya…>>Penzi si kama nyanya itokayo sokoni, nipe penzi 
mwanana niliote ndotoni
Tags
MAHUSIANO