Kiongozi
mkuu wa kanisa la Ukombozi ,Nabii B.G Malisa akizungumza na waandishi
wa habari mara baada tu ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Kilimanjaro(KIA) leo ambapo atakuwa na mkutano wa maombezi wa siku 8
katika viwanja vya reli jijini Arusha.
Nabii
B.G Malisa akitia sahihi katika kitabu cha wageni ndani ya uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) mara baada ya kuwasili akitokea
jijini Dar es salaam ambapo atakuwa na mkutano wa maombezi wa siku 8
katika viwanja vya reli jijini Arusha.
Nabii
B.G Malisa akipokea zawadi ya maua mara baada ya kuwasili katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) leo ambapo atakuwa na mkutano
wa maombezi wa siku 8 jijini Arusha katika viwanja vya reli.
Nabii
B.G Malisa akipokea zawadi ya maua mara baada ya kuwasili katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) leo ambapo atakuwa na mkutano
wa maombezi wa siku 8 jijini Arusha katika viwanja vya reli.
Umati
wa wakazi wa mkoa wa Arusha waliofurika katika uwanja wa ndege wa
kimatifa wa Kilimanjaro(KIA) kumpokea Nabii B.G Malisa ambaye atakuwa na
mkutano wa maombezi wa siku 8 katika viwanja vya reli jijini Arusha.
Nabii
B.G Malisa akiwa nje ya chumba cha mapokezi ya wageni mashuhuri(VIP)
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)mara baada ya
kuwasili leo mkoani Arusha,pembeni yake kushoto ni mchungaji wa kanisa
la Ukombozi tawi la Arusha ,Mwana wa Nabii mchungaji Ushindi na mkewe
Grace Ushindi wa tatu kutoka kulia waliosimama.(picha na Moses Mashalla)
Tags
HABARI ZA DINI