BANDA MEDIA BLOG

NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA RAIS TAMISEMI AFUNGUA WARSHA KUHUSU UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU KISEKTA, YANAYOTAKIWA KUKAMILIKA MWAKA 2030KWA WATUMISHI WA SERIKALI ZA MITAA NA HALMASHARI MJINI DODOMA

Naibu katibu mkuu Ofisi ya Rais Tamisemi Bernard Makali aakizungumza na Watumisha na wakuu wa idara za halmashari, wakati alipokuwa akifungua Warsha ya siku tatu ya Kuhamasisha/ kuelimisha  kuhusu utekelezaji wa Malengo ya maendeleo Endelevu Kisekta iliyoshirikisha  watumishi wa Mikoa sita

Mkurugenzi wa Idara ya kuondoa umasikini Wizara ya Fadha na Mipango  Anna Mwasha akifafanua jambo wakati alipokuwa akielezea  malngo ya mafunzo hayo

Mkurugenzi wa Idara ya Serikali za Mitaa  Tamisemi Mariam Mbaga akizungumza kwenye ufaunguzi wa Warsha hiyo [PICHA NA JOHN BANDA]

Washiriki wa Warsha hiyo wakifuatilia jambo wakati wa ufunguzi huo



Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu akiwa katika picha ya pamoja na na viongozi wa wizara ya fedha pamoja na washiriki hao toka mikoa ya Rukwa, Mbeya, Songwe, Katavi, na Ruvuma wa warsha hiyo inayofanyika katika ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma kwa siku tatu mara baada ya ufunguzi 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG