Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli
ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga,
Emmanuel Mkumbo. Uteuzi wa Mkurugenzi mpya atakayejaza nafasi hiyo
utatangazwa hapo baadaye.
Mkurugenzi huyo aliyetumbuliwa kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa kosa
la kumtishia bastola askari wa kike wa usalama wa barabarani (Traffic).
Soma taarifa hii kutoka Ikul