BANDA MEDIA BLOG

TANZIA: Bondia Thomas Mashali afariki dunia


thomas-mashali
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Thomas Mashali maarufu kama Simba aliyefugika amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa kushambuliwa na watu wasiojulikana maeneo ya Kimara jijini Dar es Salaam.

Inaelezwa kuwa, Mashali alishambuliwa kwa za wizi au ugomvi na mwili wake uliokotwa vichakani huko maeneo ya Kimara.
Taarifa zaidi zitakujia kadiri zitakavyotufikia

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG