
Belgium imetoka sare ya 1–1 na Egypt katika mchezo wa Kombe la Dunia 2026. , uliochezwa Juni 15,2026
Egypt walipata goli la kwanza kupitia Emam Ashour dakika ya 20. Belgium wakasawazisha kupitia Goli la Kujifunga Kwa Beki wa Misri kipindi cha pili.
Tags
WORLD CUP 2026