October
21 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli aliweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa mabweni 20
ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yenye uwezo wa kuchukua
wanafunzi 3,840.
Wakati wa
halfa hiyo ya kuweka jiwe la msingi pia kulikuwa na burudani kutoka
bendi ya msondo ngoma, ambapo Rais Magufuli aliungana nao kwa kupiga
tumba mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa
hosteli za wanafunzi katika chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Tags
KIBURUDANI