BANDA MEDIA BLOG

MAAFSA MIPANGO NA MAAFA MAENDELEO YA JAMII WANOLEWA MJINI DODOMA

Kaimu mkurugenzi wa Serikali za Mitaa Mariam Mmbaga akiongea jambo wakati alipokuwa akifungua warsha ya siku tatu ya malengo ya maendeleo Endelevu [SDGs] yaliyowajumuisha watendaji wa halmashauri za wilaya za mikoa ya kanda ya ziwa iliyofanyika katika ukumbi wa hazina mjini Dodoma 

Picha ya pamoja ya watendaji wa halmashauri zilizopo mikoa ya kanda ya ziwa na Mgeni Rasmi 


Washiki wa Warsha hiyo wakiwa katika ukumbi wa mikutano IMEANDALIWA NA JOHN BANDA


Mkurugenzi masaidizi wa Idara ya kuondoa umasikini akiongea jambo wakati warsha hiyo ikiendelea


Mhadhili wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam akifafanua jambo wakati akitoa mada katika warsha hiyo



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG