NAIBU WAZIRI WA KAZI, VIJANA, AJIRA, NA WALEMAVU ANTHON MAVUNDE AMETOA MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI VYA AFYA VYENYE THAMANI YA 15 MIL KATIKA HOSPITAL YA MAKOLE DODOMA
byJohn Banda-
0
Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Anthon Mavunde akizungumza na wagonjwa waliofika kupata huduma katika hospital ya Makole Dodoma kabla ya kukabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya milion 15 kwa ajili ya kusaidia vipimo [[PICHA NA JOHN BANDA]
Mbunge wa Kibiti akapata nafasi ya kusema chochote katika utoaji wa msaada huo