BANDA MEDIA BLOG

SPIKA WA BUNGE ATETA NA BALOZI WA UFARANSA ALIYETEMBELEA OFISI ZA BUNGE MJINI DODOMA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Wakwanza kulia ni Bw. Blevin Claude Afisa wa Ubalozi huo

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak wakati akizungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akimueleza jambo Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akiagana  na Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak mara baada ya kuzugumza naye  Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG