Naripoti
kutoka bungeni Dodoma ambapo ishu kubwa sasa hivi ni muswada wa habari
uliowasilishwa jana kutoka kwa Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na
michezo Nape Nnauye, Wabunge mbalimbali wamesimama na kuongea.
Zitto Kabwe ni miongoni mwao amesimama kwa dakika kumi na kuyaongea haya hapa chini kwenye video, ‘Muswada huu unatengeneza Muhariri mkuu wa taifa ambaye ni Waziri wa habari‘
Tags
Bunge