BANDA MEDIA BLOG

MAJALIWA AHUTUBIA BARAZA LA MAULID


sin1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Alhaj  Abukary Zubeiry Bin Ally baada ya kuwasili Shelui mkoani Singida kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Maulid Desemba 12, 2016. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sin2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri  wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba baada ya kuwasili  Shelui  mkoani Singida kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Maulid Desemba 12, 2016.   Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, January Makamba.  Muungano na Mazingira, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

sin3
Baadhi ya washiriki wa Baraza la Maulid  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Baraza  hilo , Shelui mkoani Singida, Desemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sin4
Baadhi ya washiriki wa Baraza la Maulid  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Baraza  hilo , Shelui mkoani Singida, Desemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sin5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi baada ya kuwasili Shelui kuwa mgeni rasmi katika Baraza  la Maulid, Desemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG