BANDA MEDIA BLOG

MBUNGE WA DODOMA MJINI ANTHON MAVUNDE AWAPIGA MSASA WA VIWANDA VIDOGO VIDOGO WAJASIRIAMALI WA MANISPAA HIYO

Meya wa Manispaa ya Dodoma Jaffary Mwanyemba akikazia jambo wakati alipokuwa akifungua mafunzo ya ujasiliamali wa viwanda kwa niabaya Mbunge wa Dodoma mjjini Anthon Mavunde 

Mkufunzi wa ujasiriamali kwa njia ya viwanda vidogo vidogo Paul Mashauli akiwaonyesha wajasiriamali wa manispaa ya Dodoma Mashine ya kupukuchulia mahindi kilo 600 kwa saa. [PICHA NA JOHN BANDA] 




Meneja wa Benki ya Equet Upendo Mangula akizungumza jambo wakati alipokuwa akizungumzia huduma za Benki hiyo kwa wajasiriamali waliokutanishwa na Mbunge wa Dodoma Mjini Anthon Mavunde ili kujadili ujasiriali wa viwanda vidogo, Mwingine ni Meneja mikopo wa Benki hiyo Emanuel Pauline

Meneja wa SIDO mkoa wa Dodoma Ahmed Mwamponda akizungumza kwenye semina hiyo

Washiriki wa Semina hiyo wakiwa ukumbini



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG