J. Mwijage (Mb), Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji ameteua
wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi;
wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi;
- Bibi Dorothy Stanley Mwanyika
- Bwana Canuth Gallus Komba
- Bwana Leo Mavika
- Bwana Alfred Mapunda
- Bwana Francis Abdallah Lukwaro
f) Bwana Geofrey Kirenga - Bwana Mkwale Adam Taib
- Bwana Seif Said Issa
- i) Bwana Mohamed Jaffar Jummanne
Uteuzi huu unaanza tarehe 17 Desemba, 2016
Prof. Adol F. Mkenda
KATIBU MKUU
BIASHARA NA UWEKEZAJI
KATIBU MKUU
BIASHARA NA UWEKEZAJI
Tags
HABARI KITAIFA