Baada ya kusomewa taarifa ya mkoa
wa Ruvuma na mkuuwa mkoa huo Dokta Binilith Mahenge katika ikulu ndogo
ya Songea , Waziri mkuu wa Jamhuri ya Tanzania Kassim Majaliwa akatoa
maagizo matatu ambayo ambayo mkoa wa ruvuma unatakiwa kuyatekeleza. Kwa
undani wa habari hii hii hapa video yake.
Tags
HABARI KITAIFA