Katika Karne ya sasa vijana wengi
wamekuwa na tabia ya kutafuta uhodari wa nani zaidi kwenye tasnia ya
mapenzi, hivyo wakati kijana anapo jikita kwenye mapenzi kama unavyo
jua mapenzi yalivyo na nguvu, anashindwa kuvumilia na kujiwekea
misimamo yaani kutulia na msichana ambaye tayari kamfanyia uchunguza
wenye kina.
Tamaa! ni mbaya, kupenda sio
vibaya ila unapaswa kufanya uchunguzi kabla ya kupenda na sio kutamani!
Ili ujue ulipo penda ni sahihi au laa!. Unaweza kupenda ulipo tamaniwa
shida ndipo huanza, sio hivyo tu unaweza ukapenda mzuka /jini/shetani
nk. Mwishowake huwa ni majuto.
Kumbuka umakini na msimamo katika
mapenzi vinamsaada mkubwa sana katika karne hii (usipende usicho kijua)
Ukitazama hiki kipande cha video kilicho andaliwa 2017 na Vicent Petro
a.k.a Mr. Kiraka, Ziada Mgwassa a.k.a “Zaydar” & Moses,
utajifunza kuwa sio kila kinacho ng’aa ni dhahabu!. Tunaomba support
yako kwenye video hii ili iwafikie walengwa wetu! Asante.
Tags
HATARI