BANDA MEDIA BLOG

Baada ya Kuona Kila Sehemu ni Ovyo,Chadema Waufufua UKUTA rasmi..!!!

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa huu ni wakati muafaka wa kuendeleza maazimio ya Ukuta kwa sababu waliyoyatabiri ndiyo yanayotokea sasa.
Akizungumza na waandishi wa habari makamu mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Abdallah Safari amesema lengo la ukuta lilikuwa endelevu nz lenye lengo la kukemea udikteta nyemelezi.
Alisema yale yaliyokuwa yakipingwa ndiyo yanajitokeza sasa, hivyo ni wakati wa kuuamsha kwa nguvu moja.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG