BANDA MEDIA BLOG

Kenya Yasalimu Amri..Rais Kenyatta Atangaza Janga la Ukame na Ukosefu wa Chakula



KENYA: Rais Uhuru Kenyatta jana alitangaza hali ya ukame kuwa ni janga la kitaifa baada ya kuyakumba majimbo 23 katika muda wa miezi 6.

Rais Kenyatta aliwaonya watu wanaosambaza chakula cha misaada kutouza chakula hicho ili watajirike.

Shirika la kimataifa la Msalaba Mwekundu limeonya kuwa takribani watu 11 kutoka Kenya, Ethiopia na Somalia wako katika hatari ya kufa njaa.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG