BANDA MEDIA BLOG

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI


1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha ofisini kwake Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Mwigulu Nchemba tayari kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar Es Salaam.
2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na  Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Mwigulu Nchemba , Ikulu jijini Dar Es Salaam.

3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na  Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Mwigulu Nchemba , Ikulu jijini Dar Es Salaam .
( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG