Maneno ya Wema Sepetu Baada ya Kuona Yusuph Manji Kaachiwa Kwa Dhamana
byJohn Banda-
0
Mwigizaji Wema Sepetu ameyaandika haya baada ya kuona taarifa za
Mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti wa Yanga kuachiwa kwa dhamana leo
Mahakamani Kisutu Dar es salaam baada ya kushikiliwa kwenye sakata la
dawa za kulevya.