Waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Yohana, Dayosisi ya Victoria
Nyanza, Parishi ya Bomani wilayani Sengerema, mkoai Mwanza wamemshushia
kipigo Mchungaji wa kanisa hilo,
Joseph Kwangu wakati wa ibada ya
jumapili ikiendelea, baada ya waumini hao kumtuhumu mchungaji kufanya
mambo yanayoendana na ishara wanazozitumia Freemason. Waumini hao
waliamua kubandika matangazo ndani ya kanisa, vyooni, milango ya
kuingilia kanisani kumtaka mchungaji huyo asiingie ndani ya kanisa hilo.
Waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Yohana, Dayosisi ya Victoria
Nyanza, Parishi ya Bomani wilayani Sengerema, mkoai Mwanza wamemshushia
kipigo Mchungaji wa kanisa hilo, Joseph Kwangu wakati wa ibada ya
jumapili ikiendelea