Wakazi wa Mwanza wameshuhudia kituko baada ya mkazi wa jiji hilo,
Jumanne Nasibu kumuingilia kimwili mbuzi jike. Tukio hilo lilitokea
baada ya mmiliki wa mbuzi hao kuwafunga malishoni wakiwa sita na baadae
kuwakuta wakiwa watano na kuanza kumsaka mmoja kwa hofu ya kuibiwa ndio
alipokumbana na mkasa huo.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, amewataka wananchi kuripoti ili sheria zichukuliwe dhidi yao.
Tags
AAH
