BANDA MEDIA BLOG

Wenzetu Wanateseka Magerezani- Tundu Lissu ..!!!


Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Lissu baada ya kufanikiwa kupata dhamana jana amefunguka na kuwashukuru watanzania huku akisema si jambio la kufurahia sana kwani bado wenzao wanapata mateso magerezani.
Mhe. Tundu Lissu ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa twitter 
"Asanteni Watanzania kwa maombi yenu hatuwezi kushangilia kama bado wenzetu wanateseka Magerezani" alindika Tundu Lissu 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG