BANDA MEDIA BLOG

Ridhiwani Kikwete Akutana na Edward Lowassa, Asema Amejifunza Mengi Kutoka Kwake, na Bado Atajifunza


Baada ya Jana Ridhiwani Kikwete Kukutana na Edward Lowassa Uwanja wa Taifa na Kupiga nae Stori kidogo amefunguka haya kwenye ukurasa wake wa Twitter:

"Siasa ni Shule ambayo haina kikomo. Tusichoke kujifunza. Mimi nahisi bado niko shule ya Msingi na ninaendelea kujifunza.#siasasivita" Ridhiwani

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG