Mechi ya Yanga na Simba jana February 25 2017 ilikutanisha watu
mbalimbali na hata wenye Nyadhifa za kisiasa kama Edward Lowassa, Mbunge
wa Chalinze Ridhiwani Kikwete na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
ambao walikutana wakasalimiana.
Leo Ridhiwani Kikwete amepost picha ikimuonyesha uwanja wa taifa akionekana kumgusa Freeman Mbowe ili amsalimie ambapo kwenye caption ameandika
Leo Ridhiwani Kikwete amepost picha ikimuonyesha uwanja wa taifa akionekana kumgusa Freeman Mbowe ili amsalimie ambapo kwenye caption ameandika
“Kaka tusalimiane kidogo kwa afya ya Yanga”
Tags
SIASA