BANDA MEDIA BLOG

Wafanyakazi Wawili wa TRA Mbaroni Kwa Kujihusisha na Biashara ya Madawa ya Kulevya



Jeshi la Polisi lawashikilia watumishi wawili wa TRA kwa tuhuma za kuhusika kupitisha viuatilifu vya kutengeneza Dawa za Kulevya.

Aidha watumishi wengine wawili wanafuatiliwa nyendo zao kabla ya kutiwa nguvuni kwa ajili ya mahojiano.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamishna wa Intelijensia wa Tume ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG