Msanii mchekeshaji Steven Nyerere ameendelea kum diss TID kwa kusema ni
mtu ambaye wakati wake umepita na pia hajielewi na hawezi kujifananisha
naye
Amedai msanii huyo anaishi kwao na amekuwa akimpiga vizinga vya 10,000
na 5,000 kila akiona gari lake huku yeye akiwa ana nyumba na anatunza
familia na kununua mafuta ya magari kadhaa
Tags
KIBURUDANI
