BANDA MEDIA BLOG

Biashara ya Mahindi ya Kuchoma Yapigwa Marufuku...



Kutokana na upungufu wa chakula, Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Senyamile apiga marufuku biashara ya mahindi ya kuchoma ili kukabiliana na tatizo la njaa.

Je, unahisi kupigwa marufuku kwa biashara ya kuchoma mahindi kutasaidia kupunguza tatizo la njaa ?

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG