Katapila
likibomoa majengo ya Baa ya Pentagon katika oparesheni ya bomoa bomoa
nyumba zote zilizojengwa katika hifadhi ya Reli ya Kati eneo la
Mivinjeni, Kurasini Dar es Salaam. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA
MATUKIO BLOG;0754264203
Makontena ya biashara yakiwa yamefumuliwa na katapila
Baa ya Pentagoni ikiwa imebomolewa
Katapila likiendelea na kazi ya bomoa bomoa
Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwa na vibanda vya biashara pamoja na wananchi wakishuhudia ubomoaji huyo
Askari wakilinda doria wakati wa ubomoaji
Wataalamu
wakipima mita 20 kutka kwenye reli ili nyumba na mabanda yaliyo ndani
ya hifadhi ya reli zibomlewe kupisha ujenzi wa reli ya kisasa.
PICH ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG;0754264203
PICH ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG;0754264203
Tags
BOMOA BOMOA