Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe.
Christina Mdeme akizungumza na Kamati ndogo ya Mkoa inayoratibu Ujenzi
wa mradi wa Uwanja wa Michezo wa Kimataifa utakojengwa katika kata ya
Nala Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Mkoa
ya Uratibu Mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Kimatafa Bw.Salum
Mkuya akitoa mrejesho wa mambo yaliyofanywa na Kamati yake kwa Mkuu wa
Wilaya ya Dodoma Mhe. Christina Mdeme (Hayupo Pichani) katika
kuhakikisha Mradi huo unafanikiwa.
Mjumbe wa hiyo ambaye ni
Mwanasheria kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.
Evordy Kyando akifafanua jambo kwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe.
Christina Mdeme (Hayupo Pichani) wakati Kamati hiyo ilipokutana na Mkuu
huyo wa Wilaya.
Mjumbe wa hiyo ambaye ni Afisa
Tawala Wilaya ya Dodoma Bw. Hashimu Kitambuliyo akitoa maelezo kwa Mkuu
wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Christina Mdeme (Hayupo Pichani) kuhusu mipango
na mikakati iliyoweka na Kamati hiyo katika kufanikisha Mradi huo.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma